Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga Mohammed Masoud, akijaribu kumpita beki wa Timu ya Malindi Ali Juma,kushoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar leo 22/9/2019. Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga Humuod Suleiman akijaribu kumpita beki wa Timu ya Malindi Ali Juma, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga kulia Humud Suleiman kulia akiwa na mpira huku beki wa Timu ya Malindi kushoto Ali Juma, akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Lingi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao. 3-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga Mohammed Masoud akijaribu kumpita beki wa Timu ya Malindi Ibrahim Mohammed, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0.
Kipa wa Timu ya Malindi Mwinyiuledi Hassan akiokoa mpira golini kwake huku mchezaji wa Timu ya Kipanga Mohammed Masoud akigaaga chini, wakati wa mchezo wao wa Lingi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Kipanga katika mchezo huo imeibuka na ushindi wa bao.3-0.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga kulia Humud Suleiman na mchezaji wa Timu ya Malindi kushoto Ibrahim Mohammed wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao.3-0.
No comments:
Post a Comment