Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Atembelea Maonesho ya SUZA Wakati wa Hafla ya Kusherehekea Mafanikio ya SUZA Toka Kuazishwa Mwaka 1999 hadi 2019.I mOHAMED sHEIN, aAtembelea

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Said Bakar Jecha, alipowasili katika viwanja vya Ukumbiu wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja, kusho Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Dk.Zakia Mohammed Abubakar, na Spika wa Baraza la Wawakiloishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Ukumbiu wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo Cha Afya Mbweni Kampasi ya SUZA, akitowa maelezo jinsi ya utunzaji wa Afya ya meno, wakati akitembelea maonesho hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mtunza Maktaba (Mkutubi) Ndg. Mohammed Khamis, wakati wa maonesho hayo ya SUZA kusherehekea mafanikio yake tangu kuaziushwa mwaka 1999 hadi 2019, yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Unguja Wilaya ya Kati.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.