Habari za Punde

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, afungua Mkutano wa 21wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha, Septemba 19.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Mashariki mwa Afrika, kwenye ukumbi wa AICC Arusha
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Mashariki mwa Afrika, kwenye ukumbi wa AICC Arusha
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akiwa teyari kupokea bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akikabidhiwa bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kutoka wa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akiwa ameshika bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), baada ya kukabidhiwa Wenyekiti huo na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) aliyemaliza muda wake, akizungumza, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi wa AICC Arusha
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi wa AICC Arusha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika ngao, aliyokabidhiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, kwa niaba ya Rais Magufuli, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kongo DRC, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro (katikati), wakitoka kwenye ukumbi wa AICC Arusha, katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, baada ya kutoka kwenye ukumbi wa AICC Arusha, katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) Septemba 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.