Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu
wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi akizungumza na Menejimenti ya wafanyakazi wa
Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) alipotembelea kwa zira ya
kikazi iliyofanyika Jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2019.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu
wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi akizungumza na Menejimenti ya wafanyakazi wa
Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) alipotembelea kwa zira ya
kikazi iliyofanyika Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu
wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) pamoja na Viongozi Chama cha Maafisa Mawasiliano na Mahusiano
Serikalini(TAGCO) wakati wa zaira ya kikazi iliyofanyika Jijini Dar es Salaam,
Septemba 4, 2019.
No comments:
Post a Comment