Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Magufuli Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar es Salaam leo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Ali Mohamed Shein Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika
Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika
Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2019
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.