Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azindua Sera ya Viwanda Zanzibar Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.ANZIBAR.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa  Vitabu vya Sera ya Viwanda katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika  Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akionesha Vitabu vya Sera ya Viwanda katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.kushoto ni Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali na kulia ni Mwakilishi kutoka UNIDO Steven Cargbo.
Muakilishi kutoka Ubalozi wa Sweden Jenny Akeback akitoa hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika  Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Muakilishi kutoka UNIDO Steven Cargbo akitoa hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika  Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Juma Hassa Reli akitoa hotuba ya Makaribisho katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029-iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akitoa Hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika  Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Sera ya Viwanda 2019-2029,iliofanyika katika  Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya waheshimiwa na Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Viwanda iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull wakil kikwajuni Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.