Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Zimamoto na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Zimamoto Imetoka Kifua Mbele Kwa Bao.1-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Malindi Selembe akiruka juu akipiga mpira kichwa huku Kipa wa Timu ya Zimamoto akijiandaa kuokoa mpira huo wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0
Mchezaji wa Timu ya Malindi na Zimamoto wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0  No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.