Mchezaji wa Timu ya Beitras akijianda kurusha mpira golini kwa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wa Michuano ya Kombe la Karume Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo .
UJENZI WA SOKO LA KIMATAIFA LA VITUNGUU SINGIDA KIPAUMBELE CHA CCM
-
Chama Cha Mapinduzi kimetaka kumalizwa haraka kwa ujenzi wa Soko la
Kimataifala Vitunguu katika Manispaa ya Singida.
Maelekezo hayo yametokewa leo tarehe...
52 seconds ago
0 Comments