RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya
Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Damen Shipyard Gorinchem, Kanda ya
Afrika Mr.Ronald Maat, alipowasili katika viwanja vya Bandari ya Malindi
Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, hafla hiyo
imefanyika leo 1-10-2019
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Kepteni Azizi na kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akiwa katika meli ya mafuta ya MT.
Ukombozi II, wakati akitembelea Meli hiyo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg.
Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, kulia
kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa
Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud
Jumbe na kushoto kwa Rais Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr.
Sira Ubwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa,
wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi
Kombo , akitowa maelezo wakati wa kutembelea moja meli hiyo baada ya uzinduzi
wake uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea
meli hiyo baada ya kuizindua leo katika Bandari ya Malindi Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakiwa katika chumba cha kuongozea Meli
wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg.
Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya moja ya vifaa vya kuongozea meli wakati
wa uzinduzi wa meli hiyo ya MT. Ukombozi II, uliofanyika leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakiwa katika chumba cha kuongozea Meli wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya moja ya vifaa vya kuongozea meli wakati wa uzinduzi wa meli hiyo ya MT. Ukombozi II, uliofanyika leo.

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein,akiwa katika chumba cha kuongozea meli katika ya MT.Ukombozi II, kushoto
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balizi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid na kulia Naibu Katibu Mkuu CCM
Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya Mafuta ya
MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo
No comments:
Post a Comment