Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma bango lenye picha ya kitambulisho chake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi cha( SMART CARDS) alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipokuwa akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho Kipya cha Kisasa cha (Smart Cards) Uzinduzi huo umefanyika leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakili Kikwajuni Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi.
Makamu wa Rais wa Tanzania Mstaaf Mhe.Dkt.Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wakati akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Kiuongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduziu.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndh Talib Ali Talib na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania.Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan.
Wasanii wa Kikundi cha Makombora Zanzibar wakionesha onesho ya umuhimu wa kuwa na Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha (Smart Cards ) hafla hiyo hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa wakil Kikwajuni Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa
Matukio ya Kijamii Zanzibar.Dkt.Hussein Khamis Shaaban, akitowa maelezo ya
Kitaalam ya Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdlwakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza
wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Kitambulisho Kipya cha Kisasa cha Mzanzibar
Mkaazi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uzuinduzi wa
Kitambulisho cha Kisasa cha Smart Cards) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitambulisho Kipya cha Kisasa cha Mzanzibar
Mkaazi,( kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo ya
Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na IUdara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri kulia akimkabidhi Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia Kitambulisho chake cha Mzanzibar
Mkaazi cha (Smart Cards) baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisiya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar
Kheri (kushoto kwa Rais) hafla hiyom imefanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar
Mkaazi, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Haji Omar Kheri, hafla hiyo ya
Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Zanzibar
BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hafla ya
Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi (Smart Cadrs ) wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi
wa Sheikh. Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri na Washauri wac Rais wa Zanzibar wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha
Mzanzibar Mkaazi Mama Mwanamwema Shein, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya ya Mzanzibar Mkaazi, Makamu
wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha
Mzanzibar Mkaazi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha
Mzanzibar Mkaazi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo yac Uzinduzi
imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar
Mkaazi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid, wakati wa
hafla hiyo ya Uzinduzi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdilwakil
Kikwajuni Zanzibar
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Hassan Khatib Hassan akionesha Kitambulisho chake Kipya cha Mzanzibar
Mkaazi baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Mzee
Abdalla Mwinyi Khamis, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa
cha (Smart Cards) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha
Mzanzibar Mkaazi.Ndg Haidar Hasham Madeweya, wakati wa hafla hiyo iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Ndg.Hamad Khamis Hamad Mkaazi wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa
cha (Smart Cards) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Ndg.Ali Kheri Faraj Mkaazi wa Kaskazini Pemba, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa
cha (Smart Cards) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi.Bi.Sharifa Maabad Othman Mkaazi wa Kusini Unguja,wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa
cha (Smart Cards) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Baadhi ya Manaibu Mawaziri wa SMZ wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani0 akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment