Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake wa Zanzibar Katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.c

Mjumbe wa Kamati ya Elimu Malezi Mafunzo na Afya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).Bi. Mwaka .Abdulraham akisoma risala wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA)Tunguu Wilaya ya Kati Unguja. Kongamano hilo limefunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein leo Oktoba 19, 2019.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline Castico akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein,(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihutubia na kulifungua Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo, kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline Castico na kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi.
Washiriki wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakishangilia wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja , wakati mgeni rasmin Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein akihutubia na kulifungua Kongamano hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar.Bi. Tunu Kondo na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Mgeni Hassan Juma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar, wakati Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wazee wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakati Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein akihutrubia na kulifungua katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein.(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wajumbe wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakihudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kongamano hilo katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wajumbe wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakihudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kongamano hilo katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wajumbe wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakihudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kongamano hilo katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.