Habari za Punde

Wananchi wa Vikundi vya Ushirika Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Sheria ya Ushirika.

Msaidizi Mrajis wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba,Ndg. Abdi Hamza Maalim, akifafanuwa baadhi ya vifungu vya sheria mpya ya Washirika namba 15 ya mwaka 2018.
Baadhi ya Wanaushirika wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakifuatilia kwa makini sheria mpya za Ushirika namba 15 ya mwaka 2018.
Baadhi ya Wanaushirika wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakifuatilia kwa makini sheria mpya za Ushirika namba 15 ya mwaka 2018.

Ofisa Maendeleo idara ya Vyama vya Ushirika Pemba, Yussuf Seif Yussuf,akitowa maelezo ya baadhi ya vifungu vyenye utata kwa wanachama wa vikundi vya Ushirika katika Wilaya ya Chake Chake kufuatia kutungwa kwa sheria moya ya Washirika.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.