Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAKULIMA KUNUFAISHWA NA (TBL) KUPITIA MASOKO YA KIKANDA
-
KAMPUNI ya Tanzania(TBL) imedhamiria kuwasaidia wakulima nchini kwa
kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda, na biashara katika ukanda huu
kupitia mika...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment