WAZIRI wa Fedha Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akiangalia baadhi ya stakbadhi za malipo ya vyombo vinavyotoshwa ushuru katika bandari ya Wesha Kisiwani Pemba, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika ofisi ya ZRB Wesha
WAZIRI wa Fedha Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akiangalia baadhi ya stakbadhi za malipo ya vyombo vinavyotoshwa ushuru katika bandari ya Wesha Kisiwani Pemba, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika ofisi ya ZRB Wesha katikati ni mfanyakazi wa ZRB kituo cha Wesha .
([PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment