Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa Tablets na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai wakati la ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote, katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia Bungeni Jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.