Mchezaji wa Timu ya JKU akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kombe la Muungano uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana Timu ya Arusha imeshinda mchezo huo kwa bao.41-37.
MAFIA BOXING PROMOTION WAUNGA MKONO KAMPENI YA RAIS DKT SAMIA MATUMIZI YA
NISHATI SAFI YA KUPIKIA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
KAMPUNI ya Mafia Promotion Boxing imetoa msaada wa majiko ya Gesi kwa
wanawake wanaojishughuli na uuzaji wa vyakula katika masoko...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment