6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Mlandege na Mafunzo Uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu ya Mafunzo Imeshinda 3-2.

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 3-2.










Post a Comment

0 Comments