Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Akabidhi Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji Kwa Jeshi la Polisi Kuwa Makao Makuu Yake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola alipowasili Tayari kukabidhi kwa Jeshi la Polisi jengo kwa jail ya Makao make yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi fungi za jengo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati akikabidhi jengo hilo kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikilkiza Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro alipokuwa akishukuru kwa kukabidhiwa jengo hilo litakalokuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola akishukuru kwa kuwakabidhi   jengo la Makao makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kukabidhi jengo kwa adili ya Makao makao Makuu ya Jeshi la polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019.Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa wakandarasi wa jengo ambalo amelikabidhi  kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro pamoja na viongozi waandamizi wa Kesho la polisi baada ya kukabidhi jengo hilo ambalo litakuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamanda wa Polisi wa Dodoma Giles Muroto baada ya kukabidhi jengo la  Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.