Rasi Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) alipohudhuria kwa ajili ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya Sayansi leo jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Kulia ni Meya wa Jiji la Dodoma Profesa Davis Mwamfupe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimuhudhurisha Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof.Josephat Bee. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Cheti cha Shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na UDOM akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kutunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akifurahia jambo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa digrii hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mke wa Rasi Msaafu wa Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakifuatilia Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma ambapo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisoma wasifu wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kitabu cha Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakiti wasifu huo ukisomwa na Profesa Davis Mwamfupe (hayupo pichani) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia jambo na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kulia) wakati wa hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa katika mahafali ya 10 ya Chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mkuu wa Majeshi Tanzania (CDF), Venance Mabeyo akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani, Waziri wa Madini, Doto Biteko na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Agustine Mahiga walipokutana katika Mhafalai ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Godfrey Gerald Mweli walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mshauri wa Ubalozi wa Zimbabwe walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)
Labels
- .
- `
- 8
- AFYA
- AFYA.
- AJALI
- BIASHARA
- BURUDANI
- DINI
- ELIMU
- FILAMU
- HABARI
- HARUSI
- HOSPITALI
- I
- JAMII
- KATUNI
- Kii
- KILIMO
- KIMATAIFA
- KITAIFA
- Ku
- MAGAZETI
- Mahkamani
- MAISHA
- MAKALA
- MAKALA AFYA.
- MAKALA.
- MATUKIO
- MATUKIO.
- MICHEZO
- MITAANI
- MIUNDOMBINU
- MSAADA
- Ok
- SIASA
- TANGAZO
- TEKNOLOJIA
- UCHUMI
- UTAFITI
- UTALII
- VIDEO
- VIJANA
- WEZI
Tafsiri ya Lugha
Popular Posts
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsalimia na Mzee Omar...
-
Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Sekondari Kiwani lililojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kufunguliwa leo 23-4-2024 na Rais wa...
-
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka akiongea na Mabalozi katika warsha ya kutathimini utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje inayo...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi ya kikombe alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela ...
-
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza katika mkutano uliotishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF na kuwak...
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria ...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BLOGU RAFIKI
-
-
AGENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA IWE YA KUDUMU KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI - Na WAF, TABORA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe...1 hour ago
-
Maisha : Kamati ya PIC Yaridhishwa na Uwekezajia wa Jengo la PSSSF Commercial Complex - *NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID* KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (Public Investment Committee-PIC), imeridhishwa na uwekezaji wa...4 weeks ago
-
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI - Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl5 years ago
Marafiki Duniani
Popular Posts
-
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa...
-
The United Republic Of Tanzania National Examination Council of Tanzania Form Four Examination Results 2017/2018 The National E...
-
Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Zanzibar na Brigedia Jenerali Mstaaf Ramadhani Haji Faki...
-
Na Miza Kona/Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar Jumla ya wanafunzi 16,744 wamechaguliwa kuendelea masomo ya kidatu cha tatu kati ya wanafun...
-
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofa...
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SITA NA DARASA LA NNE YA MWAKA 2017, JUMATATU TAREHE 29 JANUARI 2018....
-
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafupi
-
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za K...
No comments:
Post a Comment