Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Amani Kichama.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama na Viongozi wa CCM cha  wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Aman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Nd,Abdalla Mwinyi Hassan pamoja na Viongozi wengine wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwaangalia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Chama mara alipowasili katika viwanja   Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa Amani  leo  wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Juma Khamis Haji alipokuwa akitoa salamu zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  kuzungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika Mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake alipofanya   mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani.

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  alioufanya na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama  leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano na Wazee hao,  uliofanyika leo katika  ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  alioufanya na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama  leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.