Mwakilishi
wa UN Women Nchini, Bi. Hodan Addou akizungumza na washiriki wa Jukwaa la
Waandishi wa Habari Wanawake kuhusu unyanyasaji wa Kijinsia kwenye vyombo vya
habari, lilifanyika Jijini Dar es Salaam
Mwandishi
wa Habari Mkongwe, Pili Mtambalike akichangia mada katika Jukwaa la
Waandishi wa Habari Wanawake kuhusu
unyanyasaji wa Kijinsia kwenye vyombo vya habari, lilifanyika Jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Haarrison Mwakyembe, akikata utepe
kuzindua kitabu cha Masuala ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye vyombo vya habari
katika jukwaa la Waandishi wa habari wanawake, lilifanyika Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.
Haarrison Mwakyembe na Mwakilishi wa UN Women nchini, Bi. Hodan Addou,
wakionyesha nakala ya kitabu cha Masuala ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye
vyombo vya habari, kilichozinduliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo katika Jukwa la Waandishi wa Habari Wanawake lilifanyika Jijini Dar es Salaam leo Novemba
29, 2019.
No comments:
Post a Comment