Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Wooter Africa Mpira wa Kikapu Kati ya KVZ na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Ndani wa Mao Zedong Timu ya KVZ Imeibuka Kwa Vikapu 47 42.


Mchezaji wa Timu ya KVZ akiwa na mpira akijaribu kuwapita wachezaji wa Timu ya JKU katika mchezo wa Kombe la Wooter Africa uliofanyika katika Uwanja wa Basket Mao Zedong Timu ya JKU imeibuka mshindi katika mchezo huo kwa vikapu 47 -42.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.