Mchezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu wa Rangers akimpita mchezaji wa Timu ya Stone Town wakati wa mchezo huo kuwania Kombe la Wooter Africa mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Zanzibar Timu ya Stone Town imeibuka kwa vikapu 62 - 54.
MENEJIMENTI YA TMDA YAJIPANGA NA DIRA 2050
-
Menejimenti ya TMDA yakutana Morogoro tarehe 2 -3 Februari, 2026 kujadili
rasimu ya Mpango Mkakati Mpya wa Mamlaka wa miaka mitano, 2026/27-2030/31
unao...
2 hours ago
0 Comments