Mkurugenzi wa Idara
ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo
ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika
ya umma na halmashauri nchini leo tarehe
02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida
hilo ni toleo maalum linaloelezea
mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie
madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akionyesha nakala ya
Jarida Maalum la Nchi Yetu alilokabidhiwa
na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.
Hassan Abbasi mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano
ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni
toleo maalum linaloelezea mafanikio ya
ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni
Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw.
Abdul Njaidi.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza alipokuwa
mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano
ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na
halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa hafla
ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa
Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma.
Katibu wa Chama cha
Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi akitoa salaam
za TAGCO mbele ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.
Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili
mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,
mashirika ya umma na halmashauri nchini leo
tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Mhe. Juliana Shonza wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili
ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,
mashirika ya umma na halmashauri nchini
leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Maafisa Habari na Mawasiliano
Serikalini mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo hayo leo tarehe
02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,
Dkt. Hassan Abbasi na Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akisindikizwa Mkurugenzi
wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara
baada ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa
Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma.
(Picha na Idara ya
Habari –MAELEZO)
No comments:
Post a Comment