Habari za Punde

Polisi Wafanikiwa Kukamata Vifaa Vya Kutengenezea Fedha Bandia

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu fedha bandia na vifaa vya kutengeneza fedha hizo zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam
Gavana wa  Benki Kuu ya Tanzania , Prof. Florence Luoga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu fedha bandia na vifaa vya kutengeneza fadha hizo zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof.Florence Luoga(wa pili kulia) akiwaonesha noti bandia ya Tsh.5000, Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sebaya(wa kwanza kulia) na vingozi wengine kutoka benki kuu wakati wa kuonesha fedha bandia na vifaa kwa waandishi wa habari katika Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akiwaonesha waandishi wa habari (pichani), fedha bandia na vifaa vya kutengeneza fadha hizo zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam, Disemba 17, 2019, kulia anayeangali ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanznaia, Dkt. Bernad Kibese.
Fedha bandia zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, zikiwa tayari kuonyeshwa kwa waandishi wa habari katika  Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam
Fedha bandia zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, zikiwa tayari kuonyeshwa kwa waandishi wa habari katika  Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam


Baadhi ya vifaa vya kutengeneza fedha bandia vilivyokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, vikiwa tayari kuonyeshwa kwa waandishi wa habari katika  Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam, Disemba 17, 2019.
 Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.