Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Afungua Jengo Jipya la Makaazi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe. Dk. Ali Mohamed Shein Kushoto  sambamba na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dr. Severine Lalika wakilizindua Rasmi Jengo Jipya la Makaazi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dr.Severine Lalika Kulia akimpongeza Dr. Shein kwa kulizindua Rasmi Jengo Jipya la Makaazi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. John Mongela.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake mara baada ya kulizindua Rasmi Jengo Jipya la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakifuatilia maelezo ya Hafla ya Uzinduzi wa Jnego Jipya la Mkoa wao Mjini Mwanza.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakifuatilia maelezo ya Hafla ya Uzinduzi wa Jnego Jipya la Mkoa wao Mjini Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dr.Severine Lalika Kulia akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein kwa kulizindua Rasmi Jengo Jipya la Makaazi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mara baada ya kulizindua Rasmi Jnego Jipya la Makaazi ya Mkuu wa Mkoa huo Mjini Mwanza.
Picha na – Ikulu – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.