Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa Iliyoko Musoma Mkoani Mara.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na  Mkurugenzi wa Uendeshaji (MIUKI) NHC, Haikamen Mlekio, wakati alipokagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akitembelea Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa katika Manispa ya Musoma Mjini. akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Uendeshaji wa (MIUKI)NHC.Ndg.Haikamen Mlekio kushoto. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.