Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Katika Eneo la Malindi Jijini Zanzibar.

Muonekano wa Jengo la Bandari na Soko la Samaki linalojengwa katika eneo la Malindi Jijini Zanzibar, kama linavyoonekana pichani uhalisia wa ramani ya jengo hilo linalijengwa na Kampuni ya Rinkai Nissan Construction Co.Ltd. kutoka Nchini Japan. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.