Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni alimaarufu pia kwa majina ya utani kama viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" bendi inayoongozwa na mwanamuziki nguli kamanda Ras Makunja yenye maskani nchi Ujerumani, bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa la kufungua mwezi wa Black History Month yatakayofanyika jijini Hamburg siku ya jumamosi tarehe 1 February 2020 katika ukumbi wa Grunspan. Ngoma Africa Band imeweka rekodi ya kuwa bendi ya muziki ya kigeni inayodumu kwa miaka 27 barani ulaya na katika mmajukwaa ya kimataifa ,ilianzishwa mwaka 1993 ka kiongozi wake kamanda Ras Makunja. usikose kuwa nao at
UMOJA WA VIWANDA VYA ALIZETI WAPATIWA ELIMU YA VIPIMO
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Dodoma imewahakikishia wafanyabiashara wa
Mji wa Kibaigwa Wilayani Kongwa kuwa itaendelea kusimamia usahihi wa vipimo
vinavy...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment