Habari za Punde

Shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar Uzinduzi wa Jengo la Kituo cha Usindikaji wa Vyakula na Ukarimu Pemba.

MUONEKANO wa Kituo cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji, ambacho kimewekewa jiwe la msingi na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee  Wanawake na Watoto ZanzibarMhe. Maudline Cyrus Castico, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline  Cyrus Castico (kulia), akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wajiwe la msingi  wa Kituo cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji , kushoto ni Katibu Mkuu  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dk. Idrissa Muslim Hija  kushoto, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline  Cyrus Castico, akikagua kituo cha   Kituo cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline  Cyrus Castico (Katikati) akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline  Cyrus Castico (Katikati)  akiwaongoza viongozi mbali mbali waserikali ya Mapinduzi ya Zaznibar na wananchi, katika wimbo wa mashujaa, wakati wauwekeaji wajiwe la msingi kituo  cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu, katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar
KATIBU Mkuu Wizara Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dk. Idarsa Muslim Hija, akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa kituo  cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline  Cyrus Castico  akizungumza na wananchi na walimu wa kituo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, mara baada ya uwekaji wa kituo  cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wananchi wa vitongoji na walimu wa kituo cha Mafunzo ya Mafunzo ya Amali Vitongoji, mara baada ya uwekaji wa kituo  cha Usindikaji wa Vyakula na ukarimu katika kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mpainduzi ya Zanzibar.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.