Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu.Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa,Mhe. Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard  Kalemani (kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini Dodoma 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, bungeni jijini Dodoma,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi (kushoto), bungeni jijini Dodoma, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano,  Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.