Habari za Punde

Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam leo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Keki  Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo Febuari 13,2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha Keki  Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate kamba Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo Febuari 13,2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii mbalimbali waliohudhuria kwenye Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo Febuari 13,2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza  aliyekuwa katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es salaam Catherin Semuhando baada ya kujivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo Febuari 13,2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam  Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo Febuari 13,2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.