Habari za Punde

Madhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Viwanja Vya Tenisi Chakecxhake Pemba.

Jaji wa Mahkama  kuu Zanzibar Khamis Ramadhan akiwaongoza Mahakimu, Mawakil,Wanasheria kuelekea Kiwanja cha Tenisi Chakechake wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba  Hemed  Suleiman Abdalla akiongoza Wimbo wa Mashujaa katika Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar katika kiwanja cha Tenis Chakechake kulia  Jaji wa Mahkama kuu Zaznzibar Khamis Ramadhan na kushoto ni  Naibu Mrajis wa Mahkama Pemba Abdulrazaki Abdulkadir.
Jaji wa Mahkama  kuu Zanzibar Khamis Ramadhan akisoma hutuba wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar katika Kiwanja cha Tenis Chakechake.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla akiwasalimia wananchi waliohudhuria katika Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar Kisiwani Pemba.

Naibu Mrajis wa Mahkama Pemba Abdulrazaki Abdulkadir akitoa neno la shukrani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
    Picha Na Miza Othman –Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.