Habari za Punde

Ofisi ya Waziri Mkuu Yakidhi Viwango Vya Osha

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud aliyevalia (trek manjano) akiwa pamoja na washiriki wenzake wakijiandaa kwa ajili ya matembezi ya siku tatu ya Tamasha la Utalii wa Baskeli kutoka Chwaka hadi Kiboje Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Utalii wa Baskeli Mkoa wa Kusini Unguja wakinyanyua Mikono kuashiria mwisho wa Tamasha la Utalii wa Baskeli huko Kiboje Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Utalii wa Baskeli Mkoa wa Kusini Unguja wakinyanyua Mikono kuashiria mwisho wa Tamasha la Utalii wa Baskeli huko Kiboje Mkoa wa Kusini Unguja.
Kikundi cha Ngoma ya Mabulo kutoka Kiboje kikitumbuiza katika Ufungaji wa Tamasha la Utalii wa Baskeli Mkoa wa Kusini Unguja katika hafla iliyofanyika Kiboje Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Picha na Maryam Kidiko – Idara ya Habari Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.