Habari za Punde

Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Larindima Katika Viwanja Vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar Kwa Vikundi Mbalimbali Kutowa Burudani.

Wasanii kutoka cha FRA kutoka Nchini Ghana wakitowa burudani ya muziki wa asili ya Nchi yao wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar linaloendelea katika maonesho yake katika viwanja vya Bustani ya Forodhani na ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Jijini Zanzibar.
 

Wasanii kutoka Nchini Senegal wa Kikundi cha Guiss Guiss Bou Bess wakitowa burudani wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.