DK.SHEIN AKMEUTANA NA BALOZI MDOGO MPYA WA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Mdogo mpya wa   India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza  na Balozi wa Mdogo mpya wa   India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Mdogo mpya wa  India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo,[Picha na Ikulu]16/03/2020.

Post a Comment

Previous Post Next Post