Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Jeshi hilo leo jijini Dar es
salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa
lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu yao ya kazi za
Kipolisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo leo
jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa
Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu
yao ya kazi za Kipolisi.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment