Habari za Punde

Innalilah Wainna Ilaiyh Rajiuun (Sheikh Nyundo )Hussein Hassan Ametangulia Mbele ya Haki,

Innalilah Wainna Ilaiyh Rajiuun Sheikh Hussein Hassan  almaarufu Sheikh Nyundo ametangulia mbele ya haki Allah amsamehe makosa yake amzidishie mezani yake katika mema yake  mwenyenzi mungu ampe kauli thabiti Sheikh Nyundo.

Sheikh Nyundo amefariki leo alfajiri na maziko yake yatafanyika  nyumbani kwao Kidongochekundu baada ya sala ya adhuhuri katika msikiti wa mshelishelini Kidongochekundu leo .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.