Habari za Punde

Mhe.SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO KAZI NA UONGOZI WA JUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa juu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma
Mkuu wa Kitengo cha Mipango,Utafiti na Takwimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi, Maria Kulaya akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (kulia) wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Msemaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Joseph Mwasabeja akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.