Habari za Punde

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMESHUHUDIA MCHEZO WA LIGI KUU WA WATANI WA JADI KATI YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. MACHI 08, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri waVijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi na  Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakishuhudia Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi kwa Timu ya Yanga kwa Bao 1-0 dhidi ya Simba 

MashabikiwaKlabuyaYangawakiwawameshikabango la KumkaribishaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufulikatikaMchezowaLigikuuwaWataniwajadikatiyaYanganaSimbaUliochezwakatikaUwanjawaTaifajijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020.MchezouliomalizikakwaUshindiwagolimojakwaYanganaSimbasifuri.

SehemuyaMashabikiwaKlabuyaYangawakishangiliambeleyaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufulikatikaMchezowaLigikuuwaWataniwajadikatiyaYanganaSimbaUliochezwakatikaUwanjawaTaifajijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020.MchezouliomalizikakwaUshindiwagolimojakwaYanganaSimbasifuri.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.