Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC), Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage (wa tatu kushoto) akitoa
maelekezo kwa wataalamu wanaoendelea na ujenzi wa jengo la Tume eneo la
Njedengwa Jijini Dodoma. Jaji Kaijage ameongoza timu ya wajumbe wa Tume kufanya
ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo jana. Ujenzi wa ofisi hizo umefikia
asilimia 73.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wataalamu wanaoendelea na
ujenzi wa jengo la Tume mara baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya
jengo hilo jana, ziara hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage (wa tatu
kushoto waliokaa). Ujenzi wa ofisi hizo umefikia asilimia 73.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC), Jaji (Mst) Thomas Mihayo akizugumza jambo wakati wa ziara ya
Wajumbe wa Tume kukagua maendeleo ya
ujenzi wa ofisi za Tume eneo la Njedengwa Jijini Dodoma jana. Ziara hiyo
iliongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji
Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage . Ujenzi wa ofisi hizo umefikia asilimia 73.
Meneja Mradi ambaye ni
Mkadiriaji Majengo wa Chuo cha Ardhi, Godwin Maro akitoa maelezo kwa wajumbe wa Tume
walipotembelea jengo la ofisi za Tume eneo la Njedengwa Jijini Dodoma jana. Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage
aliwaongoza wajumbe wa Tume kwenye ziara hiyo. Ujenzi wa ofisi hizo umefikia

No comments:
Post a Comment