Habari za Punde

Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya Kukabiliana na COVID 19 Watembelea Hospitali ya Wilaya Kibaha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na COVID-19 baada ya kutembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 8 Aprili, 2020.
Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Zainab Chaula wakitembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, ambapo jengo moja lenye vitanda 40 litatumika kuwahudumia wagonjwa watakaobainika kuwa na virusi vya Corona.
Meneja wa mradi wa ujezi wa Hospitali ya kisasa ya magonjwa ya mlipuko, Kanali Solomoni Chausi akitoa taarifa mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na  COVID-19 walipofanya ziara yakutembelea mradi huo.
Meneja operesheni wa kiwanda cha kuzalisha barakoa cha kampuni ya Pristine kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam akitoataarifakuhusiananakiwandahichombeleyaKamatiyaKitaifayakukabilianana COVID-19walipotembeleakiwandahicholeotareheNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.