Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Aongoza Viongozi Katika Dua ya Kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wa Serikali katika hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika leo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dk. Amani Karume, wakiwa katika kaburi la marehemu kwa kuaza dua Maalum iliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar leo.7/4/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, akipokelea na Kikosi Maalum cha JWTZ wakitowa saluti wakati akiingia katika viwanja hivyo kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo la kaburi baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibare Mzee Abeid Amani Karume ,akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibare Mzee Abeid Amani Karume ,akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa , akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibare Mzee Abeid Amani Karume ,akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia) Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, wakielekea katika viwanja vya kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea Dua iliofanyiuka leo 
VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume na Mwakilishi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar. Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Jorge Augusto Menezez, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammen na Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe Dkt. Amani Karume, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibare Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) wakati wa dua hiyo ya kumuyombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammen na Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe Dkt. Amani Karume, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibare Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) wakati wa dua hiyo ya kumuyombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.