Habari za Punde

Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Yakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Kupambana na Maambukizo ya COVID -19. Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid (kushoto) akimkabidhi vifaa vya kunaiwa mikono kwa ajili ya kujikinga na Corona,katibu wa jumuiya ya wenye magari ya mizigo na abiria mkoa wa kusini Pemba (PESTA) Hafidhi Mbarka Salim, kwa ajili ya viweka katika vituo vya daladala, sokoni msaada huo umetolewa na Milele Zanzibar Foundation. 
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid (kushoto)  akimkabidhi afisa elimu ya afya kutoka Wizara ya Afya Pemba  Dk Hamad Hamad Simba, sabufa ya kutolea matangazo juu ya ugonjwa wa Corona Pemba, msaada huo umetolewa na Milele Zanzibar Foundation.
BAADHI ya Vifaa vilivyotolewa na Taasisi ya Milele Zanzibar Foundatio Pemba, kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Chake Chake, kwa ajili ya kutoa katika maeneo mbali mbali ya Kisiwa Cha Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.