Wapendwa Wananchi Tunawasihi Kutumia Maji Safi ya Kutiririka Kuosha Mikono kwa Sabuni Mara kwa Mara ili kujikinga na Maambukizo ya Corona Virus
Tuepuke Mikusanyiko isiyokuwa ya Lazima na kubaki nyumbani kujiepusha na Maambukizo ya CORONA
Tufuate maelekezo.
No comments:
Post a Comment