Habari za Punde

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona Kenya wafikia 281.

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu.
Watano kati ya wagonjwa hao 11 ni wanawake na wanaume 6. Wagonjwa wote wana umri kati ya miaka 11 na 80.
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema wagonjwa wapya saba wameripotiwa mjini Mombasa pwani ya Kenya huku wanne wakitokea jijini Nairobi.
Maelezo yanafuata.
Chanza cha Habari BBC.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.