Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akisalimiana na Mwanafunzi
wa Darasa la Tano Shule ya Msingi Holly Cross ya Mjini Morogoro, Brian
Martin Martin leo huku wakichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya
Corona walipokutana mjini Morogoro kwenye mapumziko ya Jumatatu ya
Pasaka. Picha na Mpiga Picha Wetu
KITITA CHA HUDUMA MUHIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE KUANZA KUTUMIKA JANUARI 26
-
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amezindua rasmi Kitita cha Huduma
Muhimu ya Bima ya Afya kwa Wote, kinachotarajiwa kuanza kutumika Januari 26
mwaka h...
51 minutes ago


0 Comments