Katibu Mkuu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo wajumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
(ORPP) mara baada ya kumaliza zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini
Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama
cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
(ORPP) walipomtembelea Ofisini kwake wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya
Chama hicho jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Katibu wa NEC
–Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Pereira Ame Silima,
Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa,
Muhidin Mapeyo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.
Katibu Mkuu wa Chama
cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally
Kakurwa (kulia) akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP),
Sisty Nyahoza wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya
Chama hicho jijini Dodoma leo.
Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni ya
Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwangi Rajab Kundya akitoa maelezo wakati wa zoezi la
uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini
Dodoma leo. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) imeendesha zoezi la
uhakiki ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kukagua uhai wa Vyama vya Siasa nchini.
Mkuu wa Kitengo cha
Sheria wa Chama cha Mapinduzi (CCM),
Goodluck Mwangomango akifafanua jambo mbele ya Ujumbe kutoka Ofisi ya Masjili wa Vyama vya Siasa
(ORPP) wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini Dodoma. Kushoto ni Afisa
Tehama wa CCM, Magoti Marwa na kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu – Idara ya Mambo
ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM, Christopher Magala.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa,
Sisty Nyahoza, Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa,
Muhidin Mapeyo na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano na Elimu ya Uraia kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP),
Abuu Kimario wakikagua baadhi ya nyaraka za usajili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa zoezi
la uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini
Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally
Kakurwa akionyesha hatiza za usajili na bodi ya wadhamini wa CCM wakati wa zoezi la
uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini
Dodoma. Kanuni za Sheria ya Usajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2019
inataka hati hizo kutundikwa ukutani katika Ofisi za Vyama hivyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akionyesha hatiza za usajili na bodi ya wadhamini wa CCM wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini Dodoma. Kanuni za Sheria ya Usajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2019 inataka hati hizo kutundikwa ukutani katika Ofisi za Vyama hivyo.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa
(ARPP), Sisty Nyahoza akifurahia jambo na Waziri
Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mhe.
Mizengo Pinda walipokutana katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma
leo walipofika katika Ofisi hizo kwa ajili ya zoezi la
uhakiki wa uhai wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho leo jijini
Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa).
(Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa).
No comments:
Post a Comment