Habari za Punde

Baraza la Vijana Shehia ya Kianga lafanya usafi wa mazingira Hospitali ya Kianga

  OFISA Uhusiano Baraza la Vijana Shehiya ya Kianga (BAVIKI), Ahmed Said Mohamed, wa tatu (kulia) akiongoza zoezi la kufanya usafi hospitali ya Kianga, ikiwa ni kuunga mkono juhudi za  Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi mbalimbali ikiwemo maambukizi ya virusi vya Corona (PICHA NA ABDALLA OMAR).
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.