Habari za Punde

Marikiti Kuu ya Darajani Imeimarisha Usalama wa Kuzuia Maambukizi ya Coroka Kwa Kuwapima Joto na kuvaa Barkoa Wananchi Wanaofuata Huduma.

Mlinzi wa Marikiti Kuu ya Darajani Jijini Zanzibar akiwa katrika zoezi la kuwapima joto Wananchi wanaoingia katika soko hilo kufuata mahitaji yao  na kuhakikisha wakiwa wamevaa barkoa ili kujikinga na maambukizo ya Virusi vya Corona. Kama walivyokutwa na camera yake wakjiwa katika zoezi hilo nje ya soko hilo lilkiwa limezungushiwa uzio 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.